Monday 29 August 2016

Unknown

NEW MUSIC: KIZO X SHA BIGGY UMENIPONZA MP3 DOWNLOAD. Pata kuskiza huyu kijana, me namfananisha na KIBA juu ya SAUTI yake.


Kizo ni msanii anaechipuka kwa kasi tena mwendo wa risasi. Kijana anaetokea Chumani. Anauwezo wa kugeukwa juu ya BEAT kama vile ALIKIBA. Ana utajiri wa sauti. Ni msanii moja ambaye am sure akipata malezi ya uhakika basi hatuna budhi kujivunia KIBA WETU hapa hapa mombasa. Kazi zake ni za uhakika upenyo tu ndo hajapata.
 Alafu jinsi alivyoingiliana na msanii Mwenza Sha biggy naeza sema hii ni collabo moja hatari sana.

Pata kuuskiza na kuupakua Utamu huo hapa:

>>>>>>UMENIPONZA MP3 DOWNLOAD<<<<<<<<

Skiza Pakua Kisha share kazi hii ili tuinue kipaji FICHE hichi. Bonyeza comment box kuumpa shavu na moyo wakuzidi kujumuika kwa kazi zake KIBA WETU.





To advertise with us send mail to dzengoelvis@gmail.com. Call or Whatsapp to 0713791295.

Subscribe to get more videos :