Monday 25 April 2016

Unknown

Are You Ready For "Mshamba Video" ?... Dropping Soon 😎😎 ‪#‎TheJembe2016‬, Hivyo ndo Ngenje Mtaa aka KIDIS the JEMBE anavyokuambia ewe shabiki wake.


Mishe mishe za Kidis TheJembe Ngenje Mtaa bado zinaendelea. Baada ya kuachia kichupa cha NYONDA, Mfalme huyu wa KAMUA LEO anarudi tena kuachia KICHUPA chake kipya kabisa kwa jina "MSHAMBA".
Wengi washaskia tu kwa Commercial advertisements lakini kwa sasa KIDIS anafuraha kuwaletea kazi hio ambayo anauhakika itakua burudani ya kweli kwako shabiki mpendwa.
Kwa kuona kionjo cha VIDEO hio, tembelea kwa ukurasa wake the jembe wa Facebook ili uweze kujionea kazi ya kikweli.
#TeamNgenjeMtaa

Subscribe to get more videos :