Monday, 6 June 2016

Unknown

NEW MUSIC ALERT: BIRINGANYA BY TWENTYTWO KENYA

Unakumbuka JINO LA PEMBEE? MCHUMBA? na je ushawai kaa ukaskiza na kutazama kichupa hichi SINA RELOADED? 
Twentytwo Kenya ameandaa zawadi kubwa kwa mashabiki wake wa East Africa na ulimwengu mzima kwa jumla.
Biringanya ni wimbo ambao kwa uhakika umeundwa kwa ustadi mkubwa sana, mitamboni akiwa mwenyewe Producer Totti. Nimepata fursa ya kipekee na kuuskiza wimbo huo kwa mara ya kwanza kabisa, kwa kweli ITS A HIT. Hii natumai itapokelewa kwa  mikono miwili East Africa hapa kwani wimbi hilo naliona likija.
Kuwa kwa mstari wa mbele kutegea mkuki mkali ukilipuka kutoka kule KAYG RECORDS.

Subscribe to get more videos :