Friday, 7 December 2018

Unknown

Wimbo wa King Kaka wachezwa kwa game ya NBA America.


Siku chache tu baada ya kuachilia wimbo wake mpya Dundaing akiwashirikisha Christoff na Producer wa Wimbo huo Magix enga, wimbo huo wasikika hata kimataifa.
Juzi Siku ya Ijumanne wimbo huo ulitesa sana airwaves za majuu tena mbele za mastaa wa NBA.
Sikiliza wimbo huo ukichezwa uwanjani hapa:

Imefahamika Dj aliecheza wimbo huo mbele ya hulaiki ya watu ni MDADA kwa jina Ivy Awino ambaye ni official Dj wa Team ya Dallas Mavericks inayocheza NBA. Huyu hapa mhusika.

Neno moja kwake.

Subscribe to get more videos :