Tuesday 30 August 2016

Unknown

NEW VIDEO: MORE FIRE BY HARDROCK BROTHERS KUTOKA CHUMANI. TIZAMA KICHUPA KIPYA KABISA. MP3 DOWNLOAD PIA IPO.


HardRock Brotherz ni kikundi ambacho kinatokea kazi kazini mwa kilifi mtaa unaojulikana kama Chumani. Kundi linalomilikiwa na watu wanne wenye vina pamoja na sauti zenye minato.

Wamejitahidi kutoka handaki kwa kupitia HIT hii inayoenda kwa jina MORE FIRE. Kwa mtazamo kundi hili limesheheni wasanii wakali kwani kunao wenye sauti za kuimba kunao wanao kuja kwa mitindo ya Raga na kunao wenye uwezo wa kuchana.

Hebu lipe jicho lako utamu kwa kuitizama video yenyewe ambayo kwa kweli utapenda kazi yao:

>>>>>MORE FIRE OFFICIAL VIDEO<<<<<<<

Kwa wale wanangu wa MP3, pata kuupakua wimbo huo hapa kisha share VIDEO kwa jirani ili naye apate kupata utamu huo.

>>>>>MORE FIRE MP3 DOWNLOAD<<<<<<






To advertise with us, send mail to dzengoelvis@gmail.com. Call or Whatsapp to 0713791295.

Subscribe to get more videos :