Mwanamuziki wa Rn'B nchini Tanzania, Bernard Paulo aka Ben Pol au kama anavyo jiita East Africa's King Of RnB & Soul, Amezua kali ya mwaka 2017 baada ya kutaka kumpiga reporter wa eNEWZ show ya Habari za burudani inayo rushwa na channel ya East Africa Television
PATA KUTIZAMA NA KUMSIKILIZA BEN POL ALIVYO MKEMEA MWANAHABARI HAPA:
Ben Pol amshutuma na kumkemea mwanahabari.