Tuesday 13 September 2016

Unknown

NEW MUSIC: French Montana ft diamond platnumz , Jay Z, the game, Snoop Dogg _All the way up remix


Simba anazidi kupaza sauti hata kwa nchi za nje. Nasib Abdul kwa majina yake yakuzaliwa ni msanii wa bongo fleva ambaye ametamba Afrika kwa vibao vyake moto moto ikiwemo Mdogo Mdogo, amewaleta pamoja wakali wa marekani kwa REMIX ya wimbo alioufanya na FRENCH Montana, wimbo wenyewe ukijulikana kama ALL THE WAY UP

Skiza kichupa hicho hapa: >>>>ALL THE WAY UP REMIX<<<<<

Subscribe to get more videos :