Monday 29 August 2016

Unknown

RICLAM KUCHUJA WASANII WAKE WAWILI KWA MADAI YA UTOVU WA NIDHAMU asema Dogo Richie





Breaking News.

RICLAM kikundi kinacho ongozwa na Msanii mkali Dogo Richie kimechuja wasanii wake wawili kwa jina Batengo na Shyman. Kupitia ukurasa wake wa Facebook, Msanii Dogo Richie alikua na haya yakusema,
Nikinukuu,
 " Najua mashabiki hasa waliokuwa na imani sana na lebo ambayo nilikuwa nimeianzisha ya Riclam....na pengine maswali mnajiuliza mbona kuko kimya kulikoni....nikwamba mliona juhudi zetu baada ya lebo hii kutambulisha wasanii wawili...nakitu ambacho mm hupenda c uimbaji tu bali discpline hujangia sana katika msanii kukua napengine sikuzingatia hayo...bt we aback again na sura mpya kabisa .....mambo mazuri hayataka haraka nakaribisha maswali....,"



Maswali ibuka yalidondoka na moja wapo ni je, wasanii hao walitemwa kwa serikali hio kwa sababu gani?! Jibu lake manager wao ambaye pia ni msanii mwenza alisema kuwa Nidhamu ndo wasanii hao walikosa.

Je, wewe kama shabiki wa mziki wa Pwani una lipi la kuongezea ama kusema



To advertise with us, send mail to dzengoelvis@gmail.com. Call or Whatsapp to 0713791295.

Subscribe to get more videos :