Baada ya Dj Pinye kumtaja DNA na Khaligraph Jones kuwa walikua wakitoa mediocre music back in the days akiwa kwenye interview na NRG Radio, DNA ameweza kuingia kwenye booth na kumwaga razi akimshtumu Dj Huyo.
Maneno ya Pinye yalizua mtafaruku mitandaoni na hata kwenye vyombo vya habari. Alidai hawezi kucheza ngoma kama Lambs Lolo.
Wengi walikimbilia kumkashifu wakisema yeye huvunja vipaji vya watu wengi. Ametajwa miongoni mwa watu wanao vunja new talents nchini Kenya.
Mwanamziki DNA hakuchelewa kwani aliamua kumjibu kwa post ndefu ambayo kwake haikutoka aliamua kuingia studio na kumchamba hadharani.