Tuesday 26 July 2016

Unknown

KOFFI OLOMIDE AHUKUMIWA MWAKA MMOJA GEREZANI


Baada ya kunaswa na Camera za  CCTv akimchapa mateke ya size 8 uwanja wa kitaifa wa ndege nchini kenya, Koffi Olomide hivi leo alikamtwa tena Nchini kwao DRC na kupelekwa mahakamani ambako alifunguliwa mashtaka ya kumpiga mwanamke ambaye pia alikua mkata mauno wake bora kwa kikundi chake cha mziki.



Hivyo basi kesi yake imeamuliwa kuwa atashiriki kwa gereza kwa mda wa mwaka mmoja.
Tamasha lake la Zambia pia limetupiliwa mbali na kupigwa marufuku kutembelea Nchi hio kwa kitendo alichokifanya Nchini Kenya. Nduru za kuaminika zimeskika zikisema Koffi alijaribu mkumrai mwanake huyo hata kuapa kumpa kiwango cha pesa atakazo zitamka ili kuondoa madai yote yaliyoko kati yao lakini hayo yote hayakufua dafu.

                                                               Koffi and the Lady he kicked.
              
Kwaheri kwa sasa.

Subscribe to get more videos :

2 comments

Write comments
Unknown
AUTHOR
26 July 2016 at 18:13 delete

He deserves it haki waah

Reply
avatar