Wednesday, 20 July 2016

Unknown

A NEW DAWN FOR SUSUMILA. COULD HE BE ON HIS WAY TO "KAKA EMPIRE?"Tarehe ni NANE MWEZI WA NANE - 8/8/2016 ambapo mkali huyo wa NGOMA ITAMBAE atakua anatangaza rasmi Lebo yake mpya pamoja na kuachilia kichupa chake kipya (NEW AUDIO, NEW VIDEO, NEW LABEL).
Pata kutizama baadhi ya picha za kichupa hicho hapa: -
Hivi baada ya kufanya ngoma kadhaa na King Kaka ikiwemo TULIZA NYAVU REMIX na MAPEPE iwe KAKA EMPIRE imemnasa mkali huyo wa mombasa?Mmoja wa watu wake wa karibu alionekana akiweka maneno haya kwa ukurasa wake: -


"I see an Empire in you brother. Nikirudia Haya maneno kinyuma nyuma ni Sawa na kusema "Naona Kaka Empire ndani yako".. Maneno yangu .Go Susumila Yusuf Ustadh mwenzangu" .


Je, mwanzo huu mpya utaleta mabadiliko gani katika tasnia nzima ya mziki wa mombasa na pwani kwa jumla?
Kwa majibu hayo tegea 8 - 8 - 2016 ambapo mtu mzima anadondosha KIPYA kabisa kutoka jikoni.


Subscribe to get more videos :