Tuesday 13 September 2016

Unknown

Usikate Tamaa ni wimbo mpya kabisa uliojumuisha wakali wa Mombasa ikiwemo Dogo Richy, Tatu, P day na Alkenia. MP3 Download HAPA.

Usikate Tamaa ni wimbo mpya kabisa uliojumuisha wakali wa Mombasa ikiwemo Dogo Richy, Tatu, P day na Alkenia. MP3 Download HAPA.

DOWNLOAD HAPA: USIKATE TAMAA Mp3 Download

Wimbo huu umeundwa kwa ujuzi mkali ambao umejumuisha vipengele mbali mbali vya ala ya mziki licha ya ujumbe wake mzito ambao wimbo huo umebeba kwa jamii. Usikate Tamaa unaipa jamii moyo wa kuendelea na kujiamini kwa kile mtu anafanya na kujikaza kikazi.
Skiza wimbo huo upate ujumbe huu mtamu, kisha SHARE SHARE SHARE kwa jamii ipate ujumbe pia.

Subscribe to get more videos :