Wednesday 14 September 2016

Unknown

NEW MUSIC: ORIGINALLY BY BO-CAR JAY x KINYULE. MP3 DOWNLOAD. Amepiga LOGO kwa mziki wake na kuupa jina MIDIOCA MUSIC. Anajulikana sana kwa mitindo ya kufoka


Amepiga LOGO kwa mziki wake na kuupa jina MIDIOCA MUSIC. Anajulikana sana kwa mitindo ya kufoka. Barabagaman ndio jina kando ya mziki wake. Alikuletea FAINALI ambayo ilipeta sana na kupepeta uswahilini. Akamiliki charts kwa majuma kadhaa, Round this amemshirikisha msanii mwenza ambaye wako chini ya Production House moja, Crack Sound.



Namuongelea  Msanii Bocar jay ambaye amekuletea wimbo mpya kwa jina Originally akiwa ameshirikisha KINYULE aliyetamba kwa wimbo CHERECHECHE, unaukumbuka??
Hehe naona ukitingisha kichwa dalili ya kuridhika na kumbukumbu zako, haya twende kazi.

Je, umeshawai kutekwa akili na mawazo na mistari mikali ya wimbo wowote ule?  Kama bado hebu jaribu hii ORIGINALLY nina uhakika kipini hiki kitakupeleka ziara kimawazo.



Pakua mchapo hapa: ORIGINALLY MP3 DOWNLOAD

PAKUA, SKIZA kisha SHARE kwa mashabiki wenza ili sote tuweze kufika FAINALI ki ORIGINALLY.

Subscribe to get more videos :