Thursday 11 August 2016

Unknown

NEW MUSIC: MR. Misifa aka Dully Sykes ft Harmonize. Wimbo mtamu sana. Hebu kuwa wa kwanza kuupakua. MP3 Download HERE.






WASAFI RECORDS WAMETULETEA WIMBO MTAMU AMBAO UMEWAKUTANISHA WAKALI WAWILI WA BONGO FLEVA NIKIMZUNGUMZIA MR. MISIFA ALIETAMBA WAKATI ULE AMBAPO AMEJIZA TITI NA KUJIKAKAMUA KUBAKI "RELEVANT" KWA MZIKI HADI MPAKA SASA.

Dully sykes ni mmoja ya wasanii tajika katika burudani nzima ya BONGO FLEVA. Vile vile yeye ni producer wa DHAHABU Records ambapo ameweza kufanya kazi na vinara wengi wa bongo fleva.
Raundi hii Dully amemshirikisha kinda ambae anakomazwa na SIMBA nikimuongelea Bwana DIAMOND PLATNUMZ ambaye ndio kichwa kwa kundi zima la WCB.

Wimbo wenyewe unakwenda kwa jina INDE.

PATA KUUSKIZA NA KUUPAKUA HAPA HUKU TUKIENDELEA KUTEGEA VIDEO HIO AMBAYO ITAACHILIWA HIVI KARIBUNI.

                                        >>>>>>INDE MP4<<<<<<<

Kwa wanangu wa MP3 sijawasahau,,pakia mzigo kwa rununu yako hapa.

                          >>>>>>>INDE MP3 DOWNLOAD<<<<<<<<<<<<<



Usisahau KUSUSCRIBE KWA CHANNEL YETU YA YOUTUBE ili usipitwe tunapoeka mzigo. Kuwa wa kwanza kuona na kutizama kazi zetu.
Tupia comments zako ili tuweze kunufaisha kazi HII.


To advertise with us send a mail to dzengoelvis@gmail.com. Call or Whatsapp to 0713791295.

Subscribe to get more videos :