Friday 9 September 2016

Unknown

Diamond Platnumz kuramba Million Tano, Huku wasanii wa mombasa wakibaki kulalamikia Uongozi kwa malipo DUNI. Tizama vile GAP ilivyo.




Kinywa wazi kwa wasanii na washika dau wote wa mziki wa Kenya na Mombasa kwa jumla kwani imedhihirika wazi Diamond Platnumz ndie msanii bora kwa Afrika Mashariki. Hilo lilithibitika pale alipopigwa PRICE TAG ya millioni tano kama malipo yake kwenye ukumbi ambao utafanyika TONONOKA GROUNDS pale Chama cha ODM kilipo panga kumlipa thita lote la pesa kubwa kushinda msanii yoyote mwengine.

Tizama jinsi RANKING ilifanyika: -




Wengi wamesikika wakionyesha kutoridhika na jambo hilo ambapo wamelipinga vikali sana.
Wewe shabiki wa mziki wa nyumbani UNA LIPI LA KUONGEZEA?

Bwaga comment yako kwa comment box ili kujadili jambo hili kwa ufasaha.

Subscribe to get more videos :