Sunday, 29 July 2018

Unknown

Magonjwa Yale Unaeza Jitibu Nyumbani Kwako Bila Kuita Daktari. Tizama Magonjwa hayo hapa.



*JITIBU NYUMBANI KWAKO*

*KIUNGULIA*

      πŸ‘‡πŸΎπŸ‘‡πŸΎ
Aliyepatwa na kiungulia ale nyanya 1 asubuhi na jioni1 kitaondoka

*KUZUIA KUHARISHA*

      πŸ‘‡πŸΎπŸ‘‡πŸΎ
Kamua maji ya chungwa lita1
Kunywa glass1 kutwa mara 3
Kuharisha kutakata

*HAMU YA KULA*

     πŸ‘‡πŸΎπŸ‘‡πŸΎ
Andaa juice ya machungwa usichanganye na chochte
Kunywa glass moja siku mara3 mpk iishe
Hamu ya kula itakuja

*KIDONDA SUGU(kisichosikia dawa)*

     πŸ‘‡πŸΎπŸ‘‡πŸΎ
Yaponde maua ya mchungwa mpaka yawe laini kisha weka kwenye kidonda baada ya kukiosha kitapona

*MAGONJWA YA NGOZI*

      πŸ‘‡πŸΎπŸ‘‡πŸΎ
Osha sehemu iliyoathirika ponda maua ya mchungwa na pakaa sehemu iliyoathirka kutwa mara 2 patapona



*MAPUNYE NA FANGASI*

       πŸ‘‡πŸΎπŸ‘‡πŸΎ
Chukua majani laiini ya mchungwa yaponde mpk yalainike kisha pakaa palipoathirika

*VIDONDA VYA TUMBO*

         πŸ‘‡πŸΎπŸ‘‡πŸΎ
Anika maganda ya parachichi mpaka yakauke vizuri
Yatwange upate unga
Chota unga huo vijiko viwili changanya na asali safi vijiko viwili kula asubuhi na jioni kwa wiki1

*NGUVU ZA KIUMENI*

       πŸ‘‡πŸΎπŸ‘‡πŸΎ
vijiko3 vya unga wa parachichi
Vijiko2vya unga wa hiriki
vijiko3vya asali safi
Changanya kwenye glass1 ya maziwa kunywa asubuhi na jioni

*TUMBO LA HEDHI*

      πŸ‘‡πŸΎπŸ‘‡πŸΎ
Chemsha majani ya mparachichi
Kunywa glass1 asubuhi na jioni siku7

*ANAYEKOJOA KITANDANI*

        πŸ‘‡πŸΎπŸ‘‡πŸΎ
Chemsha ndevu za mahindi anywe kikombe cha chai asubuhi na jioni $iku3-7

*MATATIZO YA FIGO*

       πŸ‘‡πŸΎπŸ‘‡πŸΎ
Chemsha ndevu za mahindi chuja kunywa kikombe cha chai kutwa mara 3 siku 11-21

*ASIYEONA VIZURI*

        πŸ‘‡πŸΎπŸ‘‡πŸΎ
Achemshe mizizi ya mahindi chuja kunywa glass1 Kutwa mara 2 kwa siku3

*MALARIA*

     
Chukua ndimu7,zikamue kwenye glass
Andaa glass1 ya maji ya dafu
Changanya kunywa kutwa mara2 mpk upone

*KUTOA SUMU MWILINI*

 
Kunywa nusu glass ya maji ya.ndimu kila mwezi kwa muda wa miezi 2 sumu itaondoka

_____________________________________

#HealthyMatters
#Healthy
#BoraUhai
#Afy

Subscribe to get more videos :