Tuesday 4 October 2016

Unknown

EXCLUSIVE: Bahati Amtembelea Rais Uhuru State House. Kama ulidhani iliishia Viwanjani, basi umenoa. Bahati sasa amekua mtoto wa State House. Tizama Picha akiwa na Mzee mzima.



Bahati Amtembelea Rais Uhuru State House. Kama ulidhani iliishia Viwanjani, basi umenoa. Bahati sasa amekua mtoto wa State House. Tizama Picha akiwa na Mzee mzima.


Hapa naona Biashara imeanza hapa


 

Hapa kijana kidogo amshike mkono beshte yake hehe, life yachekesha.

Tweet ya Uhuru hii. Anamtambua kijana vyema sana.


Subscribe to get more videos :