Friday 6 April 2018

Unknown

Alichokisema Willy Paul kuhusu wimbo mpya wa Otile Brown aliyomshirikisha Sanaipei Tande "Chaguo La Moyo" kitakushanganza.


Baada ya kuachia kitimbi ambacho kilipelekea wengi kutawamanishwa na "harusi" hio, Otile Brown na Sanaipei walikua wakitayarisha muktadha mzuri wa video yao mpya kwa jina Chaguo la Moyo.

Wawili hao walifunga harusi, huku wakionekana kama wameridhiana kuwa pamoja. Kilicho shangaza ni kwamba hakuna "VOWS" zozote walizo badilishana. Hakukuonekana mdini yoyote kati yao ili kuwafunganisha bali sherehe tu. 

Kama vile wimbo wa Willy Paul na Alaine I DO, maandhari ya wimbo wa Otile ulifanana kimaudhui kwa matayarisho na hata ujumbe kidogo uiane.

Tizama wimbo huo hapa...





Subscribe to get more videos :