Tuesday, 8 November 2016

Unknown

Dogo Janja na Agnes Masogange wapenzi wapya Mjini. Msikilize Dogo Janja akifunguka wazi kuhusiano na mapenzi yao.


Baada ya kuonekana wakiwa wawili kwenye kumbi tofauti tofauti, mitandao kulianza waka moto pale maswali ibuka yalianza kujitokeza. Hivi je Dogo Janja anamtembezea Mahaba ya kisela kwa mwana dada Agnes Masongange?
Picha moja iliotembea kwa mitandao ilionyesha Mdada huyo akimuonesha sehemu zake za nyuma mwana miondoko huyo. Je kunani? Msikiliza Janja akiongelea story yote.


Kwa interview Exclusive na Clouds fm, Dogo Janja alikua na haya yakusema: -
“Masogange ni mshikaji wangu sana ni mtu wangu wa karibu watu wamezoea kuniona na marafiki wa kiume tu ni rafiki yangu na niko kwenye maongezi naye kuhusu kushoot video’ – Dogo Janja

‘Unajua baada ya Kidebe nafikiria jinsi ya kurudi tena na wimbo wangu mpya, ukitoa mambo ya kikazi yule ni mshikaji wangu, Agness pale alikua amekaa tu sio kwamba alikua ananionesha makalio ila nisipomtamani yule nitakua na matatizo” – Dogo Janja.

Pata kumsikiliza Dogo Janja akiongelea kwa kina Uhusiano wao Hapa:-
>>>DOGO JANJA AKIONGELEA MAPENZI YAKE KWA AGNES MASOGANGE<<<


Usikose kutizama kichupa chake kipya kwa jina KIDEBE OFFICIAL VIDEO hapa kwa kubonyeza LINK.

Subscribe to get more videos :