Friday, 4 November 2016

Unknown

Je, HELA RECORDS iko ama iko hewani? Pata kujua yote hapa kisha msikilize VISITA akitoa jibu kamili hapa.


Baada ya mda 'Kelele Mbili' Visita na Kenrazy kufanya kazi chini ya Grandpa Records, waliamua kujichuja kisha kufungua Recording Label yao kwa jina "HELA RECORDS" ambayo kwa sasa ilileta utata kidogo ambako kuna issues zilizuka moja wapo ikiwa kulitokea Accusation iliyofanywa na producer mwenza kwa jina Jilly ambaye aliwasuta wenzake kwa kueka picha za Recording studio yake kisha kubadili jina na kueka lao. Jilly alidai wawili hao walimpigia simu waweze kutumia studio yake baada ya kutoka Grandpa kisha cha kushangaza baada ya mda akaona picha mitandaoni zikiwa zimechukuliwa studioni mwake huku zikiwa na jina la HELA RECORDS.Jambo hilo lilimgandabu sana.



VISITA naye hakukawia kujibu madai hayo. Hivi ndivyo alivyoandika kwa Instagram Account yake:
“UNTIL  I SAY OR WRITE IT, DO NOT BELIEVE IT. UJINGA APAN TAKA. HELA RECORDS IS HERE.  JUST WAIT, BADO TUNADEAL NA MA ACCOUNTS ZA HELA”.


Kwa habari zengine, Shida mbili wameachilia nyimbo yao mpya kwa jina TOROKA MP3 AUDIO wakiwa wamemshirikisha SOSUUN.


Subscribe to get more videos :