Thursday 29 September 2016

Unknown

Gari alioDANDIA msanii wa marekani TREY SONGZ yafanya ajali. Tupia jicho hapa.


Mmiliki wa basi lililohusika kwenye ajali eneo la Langata na kusababisha vifo vya watu wanne  amepewa makataa  ya siku saba kumwasilisha dereva wa basi hilo.Ni agizo lililotolewa na   idara ya usalama huku wanafunzi wa chuo kikuu cha Multi Media ambacho mmoja wa wanafunzi alifariki kwenye ajali hiyo  wameendelea kushirii maandamano kulalamikia ajali hiyo.


Wanafunzi hao walioungana na wenyeji wametatiza shughuli za usafiri kwenye barabara ya Magadi.



Subscribe to get more videos :