Tuesday 2 August 2016

Unknown

BRAND NEW VIDEO ALERT: SHOMA DEDE BY ALKENIA X P DAY HURRICANE. KIMBUNGA KIMERUDI TENA, TIZAMA KICHUPA KIPYA. DOWNLOAD MP3



Shoma dede yamaanisha soma rafiki, hii ni nyimbo mpya kabisa ambayo imeachiliwa na wakali wawili Alkenia akimshirikisha Kimbunga hurricane Mr. Day yaani P DAY. Nyimbo hii imeundwa na producer PLION ndani ya MK2 STUDIOS. Imeletwa kuwa kama "Motivation song" ili kutia moyo na kuhimiza ndugu zetu wasome na kuwa na bidii masomoni mwao.


Kuwa wa kwanza kutizama KICHUPA HICHO HAPA:

>>>>>SHOMA DEDE VIDEO<<<<<<

Wale wanangu wa MP3, HII HAPA

>>>>>SHOMA DEDE MP3 DOWNLOAD<<<<<<

Pakua upate ladha Tamu kwa maskio yako,,alafu usisahau kuambia ndugu zetu "SHOMA DEDE".



GOOD DAY.




To advertise with us send mail to dzengoelvis@gmail.com. Whatsapp or call to 0713791295.

Subscribe to get more videos :