Wednesday 13 July 2016

Unknown

VIDEO: TIZAMA JINSI PROFESA JAY ALIVYO KINUKISHA KWA MARA YA KWANZA JUU YA JUKWAA TANGU AWE MBUNGE WA MIKUMI KATIKA SHOW YA BELLE 9 HUKU MOROGORO.



Joseph Haule aka Profesa Jay alikua miongoni mwa wasanii wengi waliopanda jukwaani ili kumpa support msanii mwenza Belle 9 kwa tamasha huko Morogoro.
Kutokea kwa Mbunge huyo ilikuja kama surprise kwani wengi hawakujua uwepo wake katika tamasha hilo. Hivyo basi alichipuka akiwa bado amevalia mavazi yake suti kwa tai na kuruka juu ya jukwaa. Shangwe ziliskika punde alipokuja mbele ya umati.
Hakuweza shuka staji, ilimbidi awapakulie mashabiki wake kile walichokosa kwa siku nyingi. Afande Sele alijiunga naye jukwaani kisha makamuzi yakawa namna HII HAPA.
Bonyeza ujitazamie jinsi mkali huyo alivyo imiliki nafasi yake.

>>>>>>>>>>>>>>>HII HAPA<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<

#courtesy:MillardAyo

Subscribe to get more videos :