Monday, 27 June 2016

Unknown

PHOTO OF THE DAY: JAY MADINI NA SUSUMILA NDANI YA MAINSWITCH - KIPI KINAJIRI?


Wakali wawili wanapopatana bila shaka unajua kipi kinafwata. JAY MADINI msanii aliyegonga vyombo vya habari juzi juzi kwa wimbo wake NYOTA YANGU uliotengezwa kwa ustadi mkubwa ndani ya main switch records anaonekana kuelekea KURAMBA BONGE LA DEAL na kampuni flani. Tegea kwa uhondo kemkem kutoka kwa mkali wa nyota yangu.

Hapo anaonekana akiwa na mkali wa Ngoma Itambae SUSUMILA YUSUF,
wapo katika maeneo ya mainswitch. Je wanaunda KITU?

Subscribe to get more videos :