Tuesday, 4 December 2018

Unknown

Mapenzi yaota mchanga. Mwanaharakati mwiba Mange Kimambi arusha ubuyu.Juzi tu tuliona mapenzi ya wawili hao yakigonga vichwa vya habari wakidai wanatarajia mtoto karibuni. Sasa tasnia nzima ya mapenzi imegeuka kuwa subili. Hivi mini kimefanyika kufikia kiwango cha Msanii kufukuzwa na kutupiwa nguo nje?!
Pite pite zangu za insta nimepatana na mwandishi mrefu wenye handwriting ya Mwanadada Shupavu mwiba kwa serikali ya John Pombe Magufuli, kwa jina Mange Kimambi akimuomba Jackie Wolper asimuregelee yule mtoto. Hapo nadhani ushamfahani namzunguzia nani. Kama bado vuta kiti vizuri tuendelee.
Ni dhahiri kupitia warafa alioandika chini Kimambi kuwa mzungu akashamtoka Harmonize. "Mzungu akikutoka itarudi ocha," sio maneno yangu Bali ni maneno ya msanii tajika kwa Nina Kaa La Moto Kiumbe alipokua akimwaga "bars" kule jijini Nairobi.
Sarah ambaye ni mwanadada wa kimitindo aliwezesha kuvunja "ndoa" ya Harmonize na Jackie Wolper chini ya miaka miwili iliyopita. Hivi Sasa naye amekisoma kilichomtoa kanga mayoya. Hivi mzee baba "Hafugiki eti?!"
Soma ujumbe wa Mange hapa:
Uko na ujumbe gani kwa watatu hawa, nikiongelea Jackie Wolper, Sarah na Harmonize, kwani mjamaa ako njiani kutaka kumrudia Wolper.


Source:Mange Kimambi

Subscribe to get more videos :