Thursday 17 March 2016

Unknown

Hakuna kitu au mtu anayeninyimaga Raha kama #WENGER asema Msanii Roma


Kufwatia kichapo walichokipata ArsenalFC kwa kupigwa mabao 3-1 na Barcelona na kutolewa kwa ligi ya mabingwa Europa, ilipelekea mashabiki wao kulumbukiza lawama kwa maneja wao Arsene Wenger.

Baadhi ya mashabiki wao kama Roma Tongwe hivi ndivyo alivyoandika,
"Hakuna kitu au mtu anayeninyimaga Raha kama #WENGER ".

Je wewe kama shabiki wa soka unalipi lakusema?

Subscribe to get more videos :