Wednesday 27 September 2017

Unknown

Mwana FA na AY wafungiwa mifereji ya pato lao la kimziki Tanzania. Ikumbukwe wasanii hawa.....


Ikumbukwe wasanii hawa walifidiwa kitita cha mhela mrefu na TIGO baada yao kushinda kesi dhidi ya mtandao huo.
Hivyo basi jambo hilo limefanya wasanii hao kuto orodheshwa kwa tamasha lolote kubwa nchini humo. Nduru za kuaminika zimeskika zikisema huenda mtandao huo ume "blacklist" majina yao kutoonekana kwa tamasha zozote zitakazo fanyika nchini humo.


Kwa sasa wawili hao wanaogelea kwa mamilioni ya mipesa ambayo walilipwa na kampuni hio.

Je, hatima yao nini? Je, Tigo wanauwezo kiasi gani kwa Sanaa ya BONGO?
Wacha tutegee tamasha la FIESTA linalokuja miezi ijayo tuone kama wawili hao wataorodheshwa.

Subscribe to get more videos :