Wednesday 16 August 2017

Unknown

Babu Owino aelezea nini maana ya TIBIM. Aliyekua mwenyekiti wa chama cha wanafunzi cha chuo kikuu cha Nairobi, Paul Ongili alimaarufu...



Babu Owino ambaye pia ni mbunge wa Embakasi East aelezea nini maana ya TIBIM.
Aliyekua mwenyekiti wa chama cha wanafunzi cha chuo kikuu cha Nairobi, Paul Ongili alimaarufu Babu Owino amefichua nini maana ya neno TIBIM ambalo lilitumika sana wakati wa kipindi cha siasa kilicho isha hivi majuzi.
Kupitia runinga ya televisheni ya KTN, Babu alieleza kwamba neno hilo ni neno la kigeni ambalo limetokea kule Ugiriki ambako lilitumika kumaanisha mabadiliko ambako kwa lugha ya kimombo ni "Political Revolution".
Pata kumsikiliza Babu Owino akieleza zaidi hapa:


Subscribe to get more videos :