Thursday, 2 March 2017

Unknown

Eric Omondi afunguka kwanini alitoka kwa Churchill Show na kuanzisha mpango wake kando


Msikilize mchekeshaji Eric Omondi akizungumzia swala zima la jinsi gani alijiunga na churchill kisha nini kilitokea mpaka yeye na chipukeezy kujitenga na kujitegemea wao wenyewe bila ya churchill show.
Kupitia kwa The TREND ya Larry Madowo, Eric Omond alikua na haya yakusema, Click to LISTEN.


Kama Ilikupita hii, ipate hapa: Eric Omondi on life after Churchill Show and making it big on online media 

Subscribe to get more videos :