Monday, 23 January 2017

Unknown

Dogo Janja akiongelea maisha yake na kufunguka wazi kuhusu thuhuma za yeye kuwa mteja wa dawa za kulevya.


Ni baadhi ya visa kadhaa vinavyo wapata wanamziki punde tu mafanikio yanapochungulia chini. Hivi ni kwanini wengi wao hukimbilia madawa ya kulevya? Je, ni kwasababu ya kutoweza kukumbatia mabadiliko yanayokuja kwa mziki ama ni stress za kutojitakwimu kimziki ndo zinawapelekea wengi wao kijiingiza kwa janga hilo?
Ni juzi tu tulipata kuskia mengi kutoka kwa mkali wa free style Chid Benzi, sasa ni zamu yake mkali wa Ngarenaro.
Msikize Dogo Janja akifunguka kwa thuhuma zinazo enea kumhusu yeye kujitumbuiza kwa pipa la madawa ya kulevya HAPA:

Dogo Janja Akiongelea Maisha Yake na Kufunguka wazi kwa Thuhuma za madawa ya kulevya.



Subscribe to get more videos :