Tuesday 9 August 2016

Unknown

MSANII KEN S KUTOKA SAMBURU ASHIKANA MASHATI NA DJ JAYMO KUTOKA MARIAKANI KATIKA UKUMBI WA SAMBURU. TIZAMA VIDEO HAPA.



Anajulikana kwa jina la KEN S Msanii tajika kutoka samburu ambaye ametamba sana kwa nyimbo kama MAMA ashambuliana vibaya sana na DJ JAYMO na wenzake mtaani Samburu ambako Ken S anasemekana kutoweka na Hela ya matumizi na upkeep ya wanabiashara hao.

PATA KUTIZAMA VIDEO HII HAPA CHINI ILI KUSKILIZA YALE NA KUONA YOTE YALIOJIRI.





Kwa habari zengine, KEN S ametajwa kwa Madeni alioyoacha kwa Producer Manny wa DA'FACE records Mariakani ambako hajawai hata lipa hadi wa leo. Meza yetu ilipata kuongea na Producer huyo na alikua na haya yaakusema: -



"Kusema ukweli Ken S ni msanii mkubwa mwenye tajriba ya kuheshimika lakini matendo yake mitaani imefikia tosha. Nakuambia huyu jamaa alikuja kwangu kurecord wimbo wa kikundi flaani ambapo alidai kuwa kikundi kitalipa baada ya wira huo kukamilika cha ajabu ni kwamba nyimbo ilipoisha alidai kuenda waskizisha wenye kazi hio ambapo atapewa hela aje alipe kumbe ndomilikua sorry. Alipotea hadi leo.
Baada ya muda nikapatana na kiongozi wa kikundi hicho alichonieleza kilinifanya kupoteza imani yangu kwa Ken S. Pesa alipewa before recording na alipofika studio aligeuza story na hio pesa alikula.
Mbali na hio ako na scandals kibao mtaani hadi tumemchoka".

Hayo ndio maneno ya producer Manny.

Wewe kama SHABIKI wa KEN S, UNALIPI LAKUSEMA?




To advertise with us send a mail to dzengoelvis@gmail.com. Call or Whatsapp to 0713791295.

Subscribe to get more videos :