Wednesday, 6 July 2016

Unknown

NEW MUSIC: UMEKUJA NA NANI PRODUCED BY LAMECKBOY AT NEPTUNE RECORDS. JE HORNET RECORDS HAIPO TENA? SOMA HAPA.

Lameck boy producer wa zamani wa Hornet records amerudi tena na KIPYA kabisa kutoka kwa NEPTUNE RECORDS iliopo ndani ya kikambala kwa jina UMEKUJA NA NANI.
Wengi walimjua kuwa producer wa Hornet Records ambapo meza yetu yahabari ilizama nakugundua kuwa Lameck hayuko tena HORNET. Je kipi kilijiri?

Ilibainika kuwa Lameckboy alikua chini ya mkataba, hivyo basi mkataba huo ulipofika mwisho akawa hana budi kuregesha mikoba hio kwa uongozi wa Hornet ambao unaongozwa na Mama Mjerumani kwa jina MAMA SIZO.
Kwa sasa Lameck amefungua studio yake kwa jina NEPTUNE RECORDS ambayo iko KIKAMBALA. Kuna baadhi ya wasanii waliopenda kazi yake na kwa sasa ameSIGN wasanii wafwatao;-
- Papaa
- Shanny Boy
- Jchrist Movers
- Simon Simz
- Richy Kayzah
- Ezzy Criss
- Craine Notril from Nairobi.

Pata kuuskiza na kuupakua wimbo wake UMEKUJA NA NANI hapa.

Subscribe to get more videos :