Monday 1 August 2016

Unknown

#OKOAGANZE: FAMILIA NYINGI GANZE KUHOFIWA KUPOTEZA MAISHA ENDAPO HAWATAPATA LISHE KARIBUNI. TOA MCHANGO WAKO KUSAIDIA JAMII HIZI.

 
 
Wakati umefika kuonesha upendo wetu kwa watu wetu. Akufadhilie wakati wa raha wacha akufae pia wakati wa dhiki. Tulicheka pamoja na hawa watu wakati wa furaha. Wakawa na sisi kila wakati ule tuliopitisha. Wakatuvumilia kwa hali na mali hawakututenga. Wakawa nasi karibu kwa kila jambo. Sasa wakati wetu wakuregesha shukrani umefika.

Wakaazi hawa wa Ganze wanatuhitaji zaidi ya sisi tunavyohitaji mvua kwa sasa. Naomba kwa kila mmoja wetu ajitokeze ile kuweza kusaidia ndugu zetu walioko Ganze. Kwa mchango wako tazama maandishi kwa picha nilio tundika hapo juu ili uweze kufikisha mchango wako ili tuweze kushirikiana kusaidia jamii hizi.

Kwa mashirika ambayo pia yangependa kusaidia tafadhali tia bidii na tukumbushe viongozi wote waweze kushirikiana nasi ili tulikabili jambo hili kwa jumla kwani nina imani umoja ni nguvu.

#OKOAGANZE

TUSHIKANE MIKONO TUSAIDIE GANZE.
#OKOAGANZE
#AcenaTeq


Kwa kutangaza na sisi tuma barua pepe kwa: dzengoelvis@gmail.com, whatsapp 0713791295 ama piga simu kwa nambari hio.

Subscribe to get more videos :