Wednesday 14 September 2016

Unknown

NEW VIDEO: Dodger Rnb x Rahollic-Lullaby. Nimvalishe kofia ya KING wa RNB? Je, utaniruhusu nifanye hivyo?


Senior Dodger ni msanii ambae anamiondoko tofauti na ile ya kawaida. Kwangu yeye ni msanii mwenye tajriba zaidi ya Ben pol. Kwa kweli mziki wake uko tofauti sana na ladha yake ni ile halisia. Nimvalishe kofia ya KING wa RNB? Je, utaniruhusu nifanye hivyo? Ok kama unabisha hebu Tizama hiki kichupa chake kwa jina LULLABY alafu utaelewakipi namaanisha:


NEW VIDEO: LULLABY OFFICIAL VIDEO.


Bonyeza LINK hapo juu utizame video kali sana. Kisha SHARE kwa wenzio, usiwe mchoyo kama SIS P QUEEN.

Subscribe to get more videos :