Wednesday, 20 June 2018

Unknown

SUGU msanii wa Hip Hop nchini Tanzania ambae pia ni Mbunge aapa kuwafikisha mahakamani BASATA.Baada ya kufungia nyimbo mpya ya Joseph Mbilinyi ambae pia ni mbunge wa Mbeya, hisia tofauti zilishuhudiwa bungeni ambako mbunge mwenye nyimbo hio alionekana mwenye kujawa na jazba na aliyatamka maneno yafwatayo, 

“Mimi sio Roma wala mimi sio Diamond, naiburuza BASATA Mahakamani kwa swala hili na ndio mtajua namna gani Nchi inatakiwa kuendeshwa."

Sugu ameandaa mawakili wake sita tayari kuwavaa BASATA.

Haya kazi kwenu wana BASATA. Mzee baba anakuja kuwanyorosha.

Subscribe to get more videos :