Kupitia kwa kipindi cha Mseto cha Mzazi Willy M. Tuva, wasanii hao wawili walikua wenye hisia tofauti tofauti kwani hio ilijitokeza pale wote wakilalamikia kutajwa kwao.
Pata kuwaskiza hapa. Follow the Link.
DAZLAH Amjibu DOGO RICHIE Baada Ya Kuimbwa Kwa MUZIKI MAJANGA-Mambo Mseto Na Mzazi Willy Tuva
Sudi Boy Amjibu Dogo Richie Baada Ya Kutajwa Vibaya Kwenye Wimbo - Mziki Majanga