Thursday, 13 October 2016

Unknown

JUNGLE MASTERS RELOCATES ITS STUDIOS DUE TO INSECURITY: Exlcusive Interview with JOS-K MADALA. Get it HERE!!!

 
 
Nipe news about jungle masters, nimeona mumerelocate to bamburi. I want to blog generally kuhusu jungle masters
 
Yeah imekuwa wakat mgumu baada ya mwaka jana November kulazimika kuifungunga gafla kisauni kutoka na uhuni na kutishiwa na wakali
 
waaah then ikawaje
 
Kwa usalama wetu na wa vifaa vya studio ilitubd tufunge na tukae kwanza mpk kutulie ndio turudi tena
So tukaona bamburi ndio kumetulia en unaeza fanya mziki in peace
 
waah poleni sana, so si kua emmy dee alikua mgonjwa ndo mkafunga
 
Alikuwa mgonjwa bt haikuzidi two weeks......na ugonjwa ni this year, studio ilifungwa last yr mwezi wa kumi mwisho mwsho
 
Sasa vile mumekuja upya, kuko na mikakati gani ili kuweza kuregesha soko juu saa hii ni kama mashabiki wamewasahau kiasi, lipi mumewapangia mashabiki wenu
 
Kwa sasa kitu tunafikiria hata si show ni hit aftr hit c hiki kimya kimeumiza wasanii wengi sana.....sababu aftr kumtambulisha ziky hakuna sura mpya tumeona kwa huu mwaka mzima wenye jungle imekuwa kimya
So tunatakaa kwanza kuleta watoto wapya uwanjani then hits aftr hits mpk turudi tulipokuwa
 
Vizuri sana. Pengine wale ambao mwanuia kuwa kuza na kuwaleta mwangazani ni kama nani na nani ukinitajia tu wawili watatu
 
Baraka safari ndio wakwanza, pauline ndio mwanadada ambye pia tuko naye kwa sasa aftr luv mam kuhamia tz, pauline hajaanza ila atakuwa anafanya anafanya remix flani na majid
 
Woow kwa hivyo tuzidi kungojea mapya na mazuri zaidi? Nikirudi nyuma kidogo, kitambo studio ilipofungwa pengine kulikua na standby sessions za wasanii ambazo hazingeweza kuachilia kwa sababu ya studio kufungwa?
 
Bila shaka.......yeah aftr studio kufungwa kuna wasanii ambao iliwaadhiri baada ya kazi zao kukosa kumaliziwa mahala pengine, sababu tulikuwa na malengo na wenyewe pia walikuwa na malengo zaidi kwa kazi zao, ambao miongoni mwao ni Dogo richy, Hash B......so hatukutaka kubahatisha ndio maana tukawaomba wawe wavumilivu
Uzuri ni kwamba cc family na c rahisi kutoelewana soon kazi zao zitakuwa zinatoka pia
 
Woow hio ni vizuri sana. Nawaombea kila kheri Family Nzima ya JUNGLE MASTERS. Pitisha salamu zangu kwa Emmy Dee, Dogo Richy, Hash B, Majid, Ziky na wengine pia. Nimeshukuru sana kuwa na mahojiano na wewe. Kwaheri kwa sasa.
 
Asante pia kwa wakati wako....na kwa niaba crew nzima nasema tumeshr...blssd
 
Hio ilikua Exclusive interview na JOS K MADALA. 



 

Subscribe to get more videos :