Thursday 4 August 2016

Unknown

NEW VIDEO ALERT: PLAYBOY BY KUSH TRACY. MSIKIZE VILE MWANADADA ALIVYO DUNDA KWA BEAT HAPA.


Baada ya NDULU Kush Tracy amerudi tena roundi hii amekuja kulipua, sio mashada bali kulipua AIRWAVES zote Kenya na East Africa kwa jumla. Amekuletea wewe shabiki yake mdundo tofauti na ule ulio zoea. Anasema yeye anapenda chali PLAYBOY. Je wewe ungependa chali aina gani? Najua bila shaka jibu lako litabaki kuwa lako.


Pata kuwa wa kwanza kuuskiza mdundo wenyewe kisha uweze kuupakua kabisa na kuufanya mdundo wako wa siku.

>>>>PLAYBOY VIDEO<<<<<

Bonyeza LINK hapo juu uweze kutizama kichupa kipya kabisa #PLAYBOY

 Wale wanangu wa MP3, pakua Mdundo hapa.

>>>> PLAYBOY MP3<<<<<<<

Toa maoni yako kuhusiana na hio nyimbo ili mwenyewe akipitia hapa apate maoni yako. FANYA KAMA UNASHARE KAZI HII.



To advertise with us send a mail to dzengoelvis@gmail.com. Call or Whatsapp to 0713791295.

Subscribe to get more videos :