Baada ya Presenter huyo wa KBC Radio ambaye pia nimzawa wa pwani kupeana ujumbe ufikishwe kwa wasanii wa pwani wa kutocheza mziki wa pwani tena, hizi ndizo sababu zake alizozitaja; -
“Nataka
kustop kucheza mziki wa mombasa na nataka uambie wasanii wote wa mombasa habari
hii….. Mimi ni mpwani lakini jina langu limetambulika na wapwani. Jambo la
pili, Usanii wa pwani uko na shida nyingi na hamuelewani. Staki aibu. Tatu
wengi wenu mnamajivuno na hamushirikiani. Mtasaidika vipi? Kumbuka Dogo mziki
sio kuchezwa tu………”
Mitandaoni
mashabiki wa mziki wa pwani hawakupendezwa na maoni yake hivyo basi hawakuachwa
nyuma na walikua na haya yakusema;
Mwinyi kazungu-(Nyumbani ni Nyumbani hata kama kichakani) na
kama Mungu alipangia time flani ni ya flani ama song hii iwe hit kwa wakat huu
hata ukibana airplay ww still itahit tu, so wacha tuone coast music kama
kutakuwa na pengo ama kama itarudi nyuma ukiacha kucheza muziki wa wapwani
katka station ya kbc, uamuzi wako ww kama mzaliwa wa pwani haukuwapendeza wa
pwani atlst ungekuja na suluhu za shida ulizoziona lakini yote tisa, kumi ww
kama huchezi mziki wa pwani je hao mashabiki wa Top mashariki wataongezeka au
watapungua?? badala tuungane ni mipaka tunaweka...dah... no hard feelings ni
mtazamo tu...
Shady Mchokozy acheze mziki wa pwani, kazi ya u presenter
huisha akaregea bamba
Jos-k Madala mchokozy wa mombasani
finest.......hehe hatumuombei hayo ila anafaa abadilishe uamuzi wake
Ziky
Kenya Hahaha
Peace Prince he he #Machokozy bhana mwambieni
kwao nikuleeeeee Bamba tuu
Elijah
Kalashy umenena #jos k mziki wa pwani asili yake pia anabana
Remmy
Mchelsea Bora nirudi kule kwa zamani
Jos-k Madala heheh ya so funny
Dallas Masoudy Atacheza usijali bro zangu anacheza
Jos-k Madala amecheza leo
Mike
Ekutan pole pole kaka, kuketi na kupata suluhu ndiyo dawa tosha,
lakini kumuanika wa kwenu kwenye mitandao ya kijamii si hatua ya busara, kaka
tulia, asante sana.
Jos-k Madala ni mchizi wangu na xi eti ni
kumuanika yy hii issue aliiweka kwa ukurasa wake wa Facebook kama uamuzi wake
so nimepost juu pia kuna wasanii wa coast na mafans hawakua wanalijua
hili.....bt sasa wamepata kujua
Mike
Ekutan asante Jos-k
Scholar
Wena Yuajisahau...upresenter huisha
Jos-k Madala true.....Mungu ndio ajuae kesho
Dallas Masoudy Ok kesho nitaenda Nai kwa intaviu radio maisha
na jambo nitaenda kubonga naye kuhusu hyo inshu ni kweli amekuwa down ila kuna
wasanii Wa cost walimkwanza naaamini atacheza ila sitakutaja na usipost kitu
tena ukikosana presents bitu haina haja kwetu wasanii tia bidiii kaka
Jos-k Madala yy kabla apost jana huo uamuzi I
think ingekuw poa sana kujadiliana na wasanii wnzk kutoka pwani kwanza.....bt
sawa ukiweza ongea naye hakuna mwny ubaya na yy ila nimepost tu ndio wasanii na
mafans na wasanii wny hawkuona post yake ya jana pia wajua huo ndio uamuzi wa
mtetezi
Dallas Masoudy Tutawanyoosha ngoja nirudi kwetu tz wcb itakuwa
noma
Jos-k Madala safi
Neddy
Yubu Ukweli unauma,,lkn wakati mwengine inabidi. mwinyi ww ni ndugu
yetu lazima tukueleze na kama ulikosewa pia ungeeleza lkn usichukue hatua ya
kutocheza mziki wa pwani jua pia ww umetoka pwani na utarudi pwani
Jos-k Madala True dat
Kaka
Mkali J Kenya low simu imefulia nimeona hi
Jos-k Madala why
Kaka
Mkali J Kenya sisemi kitu bro wacha ngoma itambae
Haji
Kiduma mmm!binadamu wema hawana#lawama lazima
Dominique Le Roi MWINYI wacha hizo
bro...unaturudisha nyuma. Ama kweli adui wa mtu ni mtu
Iddi
Omar Õzil Mwanzo hamna ywaskiza kbc abaki na station yao zamani
Pascal Shanga Deche Kama husikizi KBC Jos-k Madala usiseme haina
mashabiki.. kumbuka hizi station zetu ni regional lakini kbc ni National..so
ukieka list ya best performing radio station kenya mzima hizi unazo zisifia
hutaona hata moja...na kumbuka bado kuna other places station bado ni KBC
pekeee...na kumbuka hao mashabiki wachache bado ni muhimu.
La
Mumbaz Classiq Nme mind mtazamo wko jambazi
Pascal Shanga Deche True stroy..performing radio
station kenya mzima KBC watafute top 5
La
Mumbaz Classiq Hahahah tayar washajua bro
Jos-k Madala najua kaka en naheshimu sana kbc
mayb hujanielewa vzuri chenye nilikuwa namaanisha.....
La
Mumbaz Classiq Mm naamini kila m2 ana uhuru wakufanya anchojiskia au
anachopenda....so km mwinyi kaamua kutocheza ziki la coast achanene nae
Jos-k Madala ???mm pia nn na uhuru wakuongea
chochote kwa wall yangu ya facebook bora cjatusi mtu, vp ww la mumbaz ama una
mengn mbali na haya jibaba¿
La
Mumbaz Classiq Mengine izo n fikra zako sasa...
Auncle Jay Sicuboy ndo ya wapwani aya
La
Mumbaz Classiq Jay hahahah
Babylonia Staalon Macadonia Mkataa qwao n mtumwa
mbna namkubal jos k madala VP uende ugenini ukatae asil ya kwenu huo n utumwa
Leo haioni maana lakin kesho atajijua ana laana coast inarud nyuma qwa
kutosuppport mzik we2... Lakin IPO cku watajua TUNAWEZA
Jeffizzo Adamson hapo sawa bro
The-Jonez
King Gaitz kbc iko na mafans wengi xana....bt mkumbuke hizi kazi
niza contract.....
Auncle Jay Sicuboy Waaaah...Imefikia hapo...haya
twendeni nalo wanakwetu
Shaaban
Hamad Hekima ni muhimu,sidhani kama presenters wengine wanafrahia
maneno yenu coast promoters,chungeni kauli zenu mutajiharibia biashara zenu kwa
kutotumia hekima na makini ktk uamuzi wenu.
Mark Mwathethe Anatafuta kiki za msimu kama ngoma nihit
itakuwa hit
The-Jonez
King Gaitz nani alisema ngoma lazima iwe hit ndio ichezwe....???
hata football mastar husakata bumba na wenzao. kwako inawza kuwa sio hit bt kwa
mwenzako ujumbe tosha.....#suluhu ndio muhimu na pia kujituma..tena
msisahau wapo walio pewa suport kubwa kimziki na hao hao promoters
vikawalemea...the bst artist paying nai...redsan,bamboo,canibal,the jembez,kizo
b...wote wapwani hawa...we nd each ada 2make it real ...
Like · Reply · 1 · 3 hrs......"
#COURTESY OF JOS-K MADALA