Thursday, 2 June 2016

Unknown

BREAKING NEWS: WCB YAMSIGN MSANII RICH MAVOKO.

Diamond Platnumz ambaye ni msanii mkuu katika kikundi kizima cha WCB ametangaza rasmi kupitia account yake ya facebook kusajiliwa kwa msanii wa bongo fleva RICH MAVOKO.

Mavoko pamoja na diamond walionyesha kufurahiswa kwa jambo hilo kwani hawakusita kuonyesha tabasamu zao huku wakiwa wameshikana mikono.

Huu ndio ujumbe Diamond alimuandikia Rich Mavoko;
"Wolcome to the Family @richmavoko Let's take Bongo fleva to the world!"
Mashabiki kwa jumla walifurahi pia kwani ilionesha upendo na utenda kazi wa team nzima ya WCB.

Team nzima ya WCB ikiongozwa na Diamond walimtakia kila kheri msanii huyo ili waweze peleka bongo fleva kwa level zengine za juu zaidi.

ALL THE BEST RICH MAVOKO

#Courtesy of Diamond Platnumz.

Subscribe to get more videos :