Wednesday 27 April 2016

Unknown

WAKO WAPI, JAYKAH MTENGWA ANAWAULIZA. PAKUA HAPA USKIZE UJIO WAKE MPYA AMBAPO AMEMSHIRIKISHA MASTER KIMBO.




 Hii ni wimbo wa HIP HOP ulio undwa na mfalme mwenyewe Jay Crack ndani ya studio za Crack Sound kilifi.
Kwenye wimbo huo kuna sauti za wakali wawili ambapo Jaykah Mtengwa amemshirikisha Mfalme wa hip hop kutoka kilifi Master Kimbo the street major kama anavyojiita.
Mziki huu umetengenezwa kwa ustadi wa hali ya juu ambapo wakali hao wameweza kutambaa na kutandika BEAT hio ya mfalme bila huruma.


Kwenye wimbo huo, Jaykah amejaribu kukumbusha INDUSTRY ya MZIKI kuwa kulikueko wakali ambao kwa sasa hawajulikani wapo maeneo gani wala wanafanya nini. Waliotajwa ni kama vile Sokoro, Escober, Sophlin, Daddy sele na wengi wengineo. Hivi huyu jamaa nio majibu anasubiria ama ni nini.
Je, wenyewe baada ya kuskia kibao hichi watajitokeza kwa mara nyengine kwa ulingo wa sanaa ama game limechange hawaliwezi tena?

Kwa kuupata na kuupakua ama kuuskiliza wimbo huo uitwa
WAKO WAPI bonyeza (Link - Wako Wapi.) hapo kwa mabano.


Subscribe to get more videos :