Mashabiki wa mwanamziki Akothee wamrushia cheche kali mwanadada huyo mtandaoni baada ya mwanaziki huyo kuomba wampigie kura kwa AFRIMA Awards.
Mashabiki walijawa na ghadabu na kuanza kumrushia cheche kali sana. Tizama comments zote hapa:
Haya yote yalitokea juu ya nini?
Imebainika mashabiki hawakupendezwa na mavazi ya mwanadada huyo alipokua jukwaani akitumbuiza. Walinungunika kwa mavazi hayo ambayo ilimpelekea Madam Boss kuwajibu ambapo majibu hayo haya kuwafurahisha mashabiki hao.
Haya kazi imeanza.